Posted by Williammalecela.com on Monday, May 21, 2012
William Malecela leo alitembelea Bonanza la Twanga Pepeta, Leaders Club Kinondoni kwa mualiko wa Mkurugenzi wa Aset, Mh. Asha Baraka, akiwa huko alikutana na marafiki wake wa Facebook, Mabaharia Ommy kushoto, na Davie kati kati.
0 comments:
Post a Comment